Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 9, 2013

MAKAMPUNI YA SIMU YAUNGANA KUTOA HUDUMA YA MAWASILIANO KWA WOTE



Wawakilishi mbalimbali wa makampuni ya simu wakitiliana saini ya makubaliano ya kuendesha Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kulia ni Mkuu wa kitengo cha uhimalishaji mitandao wa Voda Com Eng,Nguvu Kamando anaefuata ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura na wengine wanaoshudia makubaliano hayo nyuma kushoto ni Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Tekinolojia Profesa Makame Mbawara picha na www.burudan.blogspot.com



WAWAKILISHI WA MITANDAO

WAWAKILISHI WA MITANDAO YA TTCL,AIRTEL,VODA COM NA TIGO WAKIPIGA MAKOFI BAADA YA MGENI RASMI KUHUTUBIHA

Mkuu wa kitengo cha uhimalishaji mitandao wa Voda Com Eng,Nguvu Kamando akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Tigo,Diego Gutierrez katikati  akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura kushoto ni Beatrice Singano kutoka Aitel picha na www.burudan.blogspot.com

No comments :

Post a Comment