Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, March 14, 2013

MISS UTALII TANZANIA WAPONGEZWA




Raisi wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo akimkaribisha Mratibu wa masoko wa Chuo kikuu cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma kuzungumza na washiriki wa Miss Utalii (hawapo pichani).
Mratibu wa Masoko wa Chuo kikuu cha waandishi wa Habari Bi Sophia akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 Chuoni hapo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika picha ya Pamoja na Mratibu wa Masoko wa Chuo Kikuu cha waandishi wa habari na Mawasiliano.
 
Chuo Kikuu cha Waandishi wa kimewapongeza Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 kwa elimu walizo nazo na kuwasihi watumie elimu zao kutangaza utalii wa Tanzania Jambo ambalo lina manufaa makubwa kwa jamii ya Watanzania Akizungumza na washiriki hao Kijitonyama Jijini Dar es salaam,
Mratibu wa masoko wa chuo hicho ndugu Sophia Ndibalema aliwataka kutumia Fulsa ya kuwa warembo hasa utalii kwa kujitaftia nafasi zaidi za elimu ya juu kwa manufaa yao Jamii na Taifa kwa ujumla, alisema nafasi zipo wazi kwa wale wenye kuhitaji na wenye sifa za kujiunga chuoni hapo kwa nafasi ya Cheti, Diploma na Shahada, alisema amefurahishwa na muonekano wa asili na mavazi ya heshima kwa washiriki hao hivyo kuondoa dhana kuwa washiriki wa urembo kuwa ni wale wanaovaa mavazi yenye Kudhalilisha jamii hii inathibitisha kuwa Miss Utalii ni Zaidi ya Mashindano Mengine na ni Alama ya Urithi wa Taifa na kielelezo cha mwanamke au Binti wa Kitanzania

No comments :

Post a Comment