Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea nyumbani
kwake Butiama Machi 4, 2013.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea nyumbani
kwake Butiama Machi 4, 2013. Kushoto ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal.
No comments :
Post a Comment