Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, March 13, 2013

TCRA, TAEC ZAWAELIMISHA WANAHABARI HALI YA MIONZI NCHINI



 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) akifafanua jambo wakati wa semina ya wanahabari kuhusu hali ya mionzi Tanzania, iliyofanyika Mkao Makuu ya TCRA, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Teknolojia ya Mionzi wa Tume ya Mionzi Tanzania (TAEC), Dk. Mwijarubi Nyaruba. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)

Sehemu ya wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo ya uelewa wa hali ya mionzi nchini.
 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Mionzi wa Tume ya Mionzi Tanzania (TAEC), Dk. Mwijarubi Nyaruba akielezea kuhusu matokeo ya utafiti wa hali ya mionzi Tanzania wakati wa semina hiyo ya wanahabari.
 Mtangazaji wa Times Radio FM, Scolastica Mazula akiuliza swali kuhusu athari zinazotokana na matumizi ya simu feki nchini.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Justinian Anatory  akijibu maswali ya wanahabari kuhusu athari za mionzi.

No comments :

Post a Comment