Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, March 25, 2013

WIZARA YA FEDHA YATOA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII 'BLOGGERS'





 Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa semina ya siku tatu iliyofanyika maalum kwa wamiliki wa mitandao ya Kijamii (BLOGS) jinsi  Wizara hiyo inavyoweza kufikisha habari kwa urahisi kwa wananchi. Semina hiyo iliyoanza jana na kumalizika kesho ilifanyika Kibaha mkoani Pwani.
 Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blog) wakimsikiliza Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma wakati wa semina hiyo ya siku tatu.
 Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akiwasikiliza maofisa habari kutoka Ofisi ya Waziri na TAMISEMI.

No comments :

Post a Comment