Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, March 11, 2013

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI YATOA SEMINA YA MAJUKUMU YA MAMLAKA HIYO KATIKA WILAYA YA MAFIA



  Hawa Sulemani  akijisomea moja ya vipeperushi vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania baada ya kugawiwa katika semina ya Majukumu ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia  kwa kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo.
    Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akiwagawia baadhi ya washiriki wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki vipeperushi na majarida yenye ujumbe mbalimbali  iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
 Baadhi ya Washiriki  wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka  ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia  wakijisomea majaridi  yenye  ujumbe mbalimbali  na Kazi za Mamlaka hiyo. Baaada ya kugawiwa na Mhasibu wa TCRA BW.Patrice Lumumba.
 Washiriki wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia wakishiriki katika zoezi la kutambua simu bandia.wakati walipokuwa wakionzwa na Afisa Utumishi Mkuu Esuvatie Masinga (hayupo pichani)
 Mhandisi wa Masafa wa Mamlaka ya Mawssiliano Kanda ya Mashariki Stella Bunyenza akitoa mada ya Ukuaji wa Teknolojia  wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
 Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akitoa maada ya Mfumo wa Anuani za Makazi na Posti Kodi wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika Wilayani Mafia.
 Mkuu wa Wilaya ya Mfia Sauda Mtondoo akimkabidhi  Prudence Nyombi zawadi ya King’amuzi cha Star timu baada ya kujishindia kutokana na kujibu swali aliloulizwa juu ya matumizi ya Mawasiliano, wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika Wilayani Mafia.katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akishuhudia.

01.   Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia Mkuu wa Wilaya ya Mafia Bi,Sauda Mtondoo wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.

No comments :

Post a Comment