Mwenyekiti
wa Taasisi ya African Life Alliance, Dk. Ibrahim Kaduma (kulia),
akimkabidhi Meneja Mawasiliano na Habari wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Editha Mushi , tuzo maalumu ya kuitambua TBL kuwa mwanachama
mshiriki (Corparate Member) wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi
Tanzania, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam juzi.
Editha
Mushi (kulia) akiwa miongoni mwa washiriki katika hafla hiyo
iliyopfanyika Serena Hoteli na kuratibiwa na Mfuko wa Sekta Binafsi
Tanzania.
Editha Mushi (wa nne kushoto mstari wa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TPSF baada ya hafla hiyo
No comments :
Post a Comment