Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, November 4, 2012

SIMBA YAVUTWA SHARUBU LIGI KUU YA VODACOM KWA YANGA BAADA YA KUTANDIKWA BAO 2-0 NA MTIBWA SUGAR UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.


 Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Emmanuel Okwi katikati akitafuta mbinu ya kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar, Jamali Simba kulia na Hussein Ramadhani kushoto wakati wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. Mtibwa Sugar ilishinda bao 2-0.
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Ghana anayekipiga klabu ya Simba , Daniel Akuffo mbele akijaribu kumilimi mpira dhidi ya mlinzi wa Mtibwa Sugar wakati wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambapo katika mchezo huo ulimalizika kwa Simba kulala kwa bao 2-0 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
 KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR KILICHOTOA KICHAPO KWA KUITANDIKA SIMBA BAO 2-0 KATIKA LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.
 KIKOSI CHA SIMBA KILICHOTANDIKWA BAO 2-0 NA MTIBWA SUGAR LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.
Benchi la ufundi la klabu ya Mtibwa Sugar likiongozwa na kocha mkuu wa klabu hiyo Meck Mexime kulia muda mfupi kabla ya vijana yake kuiadhibu Simba kwa kuwapa kipigo cha bao 2-0 katika ligi kuu ya vodacom Tanzania bara kutoka kwa Mtibwa Sugar uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
 Benchi la ufundi la klabu ya Simba likiongozwa na kocha mkuu Milovan Cirkovic kushoto muda mfupi kabla ya timu yake kupokea kipigo cha bao 2-0 katika ligi kuu ya vodacom Tanzania bara kutoka kwa Mtibwa Sugar uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
 Sehemu ya jukwaa la wazi la mashabiki mchanganyiko nao wakifuatilia mchezo huo ambao umeishia kwa Simba kukubali kufungwa bao 2-0 na Mtibwa Sugar.
 Jukwaa la klabua ya Simba wakiwa wanafuatilia mchezo baina ya timu yao na Mtibwa Sugar baada ya kupokea kipigo cha bao 2-0.
 Nahodha wa Klabu ya Simba Juma Kaseja akiwaongoza wachezaji wenzake kuwasalimia wachezaji wa Mtibwa Sugar.
Mwamuzi wa kati Judith Gamba  kutoka Arusha (mwenye mpira) akiwaongozawachezaji wa klabu ya Mtibwa Sugar Manungu Turiana na Simba katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara uwanja wa Jamhuri Morogoro.

No comments :

Post a Comment