Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, November 2, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AZUNDUA JIJI LA ARUSHA




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  ufunguo wa kuwa mkaazi wa heshima wa Arusha toka kwa  Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati rasmi ya kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiwa ameketi bega kwa bega na Mama Mary Chatanda katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shukrani toka kwa  Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lyimo baada ya kuzindua nembo ya jiji jipya la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha jijini humo

No comments :

Post a Comment