Siku ya Alhamisi kocha Mserbia Kosta Papic alitiliana saini na klabu ya Yanga kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja, kocha huyo ameanza rasmi kazi Ijumaa, Yanga imefikia hatua hiyo kufuatia kumalizika mkataba kwa kocha Dusan Kondic, mkataba ambao utamalizika Novemba 15 mwaka huu.katikati pichani ni Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Imani Mdega
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
1 day ago
No comments :
Post a Comment