
Jamani jamani kumbe hadi mwanamuziki hufurahia kazi yake jukwaani eeeh

Hawa ni mashabiki wakiruka debe LIVE

Huyu mwenye Nyeupe ni D Banj akiwajibika.

AY ni moja ya wasanii wanaowania tuzo ya MTV

AY na hatua za jukwaani

Mwimbaji wa muziki wa kizaza kimpya nchini Abwene Yesai AY akiwajibika wakati wa onesho la Road to mama Tanzania iliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya mkononi ya Zain Dar es salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)

Wabongo hawakonyuma na hivi siku hizi simu zina videocamera full kurekodi

Proffesa Jay naye hakuwa nyuma kuwarussha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya, kweli jamaa sasa kawa Daddy

watu weeeewe Jay wamitulinga

Shaa naye hakusita kuwathibitishia mashabiki kwmaba huu ni wakati wake.
No comments :
Post a Comment