
Hapo vipi wangwana huyu ndiyo mshindi wa BSS toka mwalimu wa kwaya hadi Muziki wa Kizazi kipya

Paschal Kasian akkiwajibika na wimbo wa pili katika Shindano la BSS

Mshindi wa Mashindano ya kuinuwa vipaji vya uimbaji BSS Paschal Kasian akiwajibika wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika Dar es salaam.(Picha na Rajabu MHamila)

Brother AY kama kawa aliwakilisha vema kwa burudani katika fainali za BSS

Shaa naye hakuwa nyuma alipiga shoo ya ukweli, unajua huyu kadhamiria kuja kuwashika

SHAA akidance na wachezaji show wake

Huyu ndiye mshindi wa pili Peter Msechu akiwakilisha mkoa wa Kigoma katika Shindano la BSS, jamaa huyu naye si haba anavipaji kibao, Mapromota na wamiliki wa Bendi changamkieni Dili kabla hajarudi kwao kujipanga ohoo!

Huyu ni Kelvin Mbati alishika nafasi ya tatu katika fainali ya BSS akiwakilisha DSM.

Huyu ni Jackson George moja ya washiriki wa shindano la BSS ambaye alishika nafasi ya Nne

Huyu ni Betrice William alichukua nafasi ya tano katika BSS Final.
No comments :
Post a Comment