JAMANI TUKAMUUNGE MKONO TID KATIKA UZINDUZI WA SAUTI YA JELA (PRISON VOICE)
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Khalid Mohammed TID akiimba mbele ya waandishi wa habari wakati akizungumzia uzinduzi wa albamu yake mpya ya SAUTI YA JELA (PRISON VOICE) uzinduzi ambao utafanyika siku ya Jumapili katika ukumbi wa klabu Bilicanas jijini Dar es Salaam, kushoto ni meneja masoko wa klabu hiyo Antoni Kizito
No comments :
Post a Comment