Mchezaji wa netbol wa timu ya uhamiaji, Zena Naziri akifikiria jinsi ya kumtoka mchezaji wa kilimo, Asma Hamis wakati wa ufunguzi wa michezo ya SHIMIWI iliyofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita na kudhaminiwa na kampuni ya Vodacom, Uhamiaji ilishinda 35.21.(Picha na Rajabu Mhamila)
CHANETA mnaona mambo yako huku...???
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ni uingie ucheze
Baadhi ya wachezaji wa timu ya kilimo wakivuta kamba wakati wa mashindano ya SHIMIWI yaliyodhinduliwa mwishoni mwa wiki iliyopita Morogoro na kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom kilimo iliwashinda lindi kwa kuwavuta mara mbili.(Picha na Rajabu Mhamila)
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mwantumu Maiza akihojiwa na Mwandishi wa TBC Jeni John mara baada ya timu yake ya kuibuka na ushindi katika mashindano ya SHIMIWI
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwantumu Maiza (wapili Kushoto) akishangilia na wachezaji wa timu ya Wizara ya Elimu baada ya kubwagiza timu ya waziri mkuu wa goli 2-0
Mchezaji wa timu ya waziri mkuu William Benjamin (kushoto) akimtoka mchezaji wa timu ya elimu Gunda Azizi wakati wa ufunguzi wa michezo ya SHIMIWI iliyozinduliwamjini Morogoro na kudhaminiwa na Vodacom ambapo Elimu iliibuka kidedea kwa magoli 2-0
Mwakilishi wa Vodacom Tanzania MACFADYNE MINJA (kulia)akimkabidhi mipira na vifaa vya michezo mbali mbali mwenyekiti wa shimiwi Leonard Kikuli mjini Morogoro, vifaa hivyo ambavyo vitagawiwa kwa washindi wa mashindano hayo.Anayeshuhudia katikati ni muweka hazina wa SHIMIWI Wiliam Mkombozi.
No comments :
Post a Comment