
Ghana, ambayo mchezaji wake Daniel Addo alitolewa kwa kadi nyekundu, baada ya kutolewa ilijiimarisha zaidi katika safu ya ulinzi na kukataa kufungwa na vijana toka Amerika ya Kkusini.
Walimaliza dakika tisini pamoja na muda wa nyongeza wakiwa zare ya bila kufungana, ingawa Brazili wanapaswa kujutia kwa makosa yaliyofanywa na Alex Teixeira kwa kushindwa kumalizia mpira uliyokufa.

pande zote mbili zilikosa mkwaju mmoja wa penati katika mikwaju mitanop ya kwanza na kuzidisha wasi wasi kwa mashabiki wa pande zote mbili.
No comments :
Post a Comment