Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za timu hiyo Afisa habari wa Simba Cliford Mario Ndimbo amesema tuhuma hizo si za kweli isipokuwa anachokijua ni utaratibu wa kuchukua fedha kila baada ya miezi mitatu kama mkataba waliokubaliana na kampuni hiyo na huwa na watiaji saini wanne ambao ni Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Mwahazini wawili.
KAMATI BUNGE YAIPA TANO NGORONGORO
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utali imeipongeza Mamlaka
ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kuimarisha uhusiano na wananchi wanaoishi
ndani...
1 day ago
No comments :
Post a Comment