FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
Wallahi,nilifurahi siku hii kaka yangu Ivo alipofunga ndoa.....mbali na yote kwakweli waliweza kuchagua ukumbi maana tulijimwaga kila kona kwa raha zetu
ReplyDeletenilikuwa kwenye kamati ya vinywaji,kwakweli sijaona wahudumu wanaojituma kama wale
Heshima ya mahali choo,ukumbi ule mwanzo mwisho maliwatoni kusafi,kwakweli wamenifurahisha
mwenye hiana alambe sumu ila kaka yetu Ivo ndo kashaoa