NGORONGORO YANG'ARA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Wazanzibar husema, Zanzibar ni njema atakaye aje, Mamlaka ya Hifadhi ya
eneo la Ngorongoro ni miongoni mwa Taasisi zilizoshiriki tamasha la
Kizimkazi ...
1 day ago
Wallahi,nilifurahi siku hii kaka yangu Ivo alipofunga ndoa.....mbali na yote kwakweli waliweza kuchagua ukumbi maana tulijimwaga kila kona kwa raha zetu
ReplyDeletenilikuwa kwenye kamati ya vinywaji,kwakweli sijaona wahudumu wanaojituma kama wale
Heshima ya mahali choo,ukumbi ule mwanzo mwisho maliwatoni kusafi,kwakweli wamenifurahisha
mwenye hiana alambe sumu ila kaka yetu Ivo ndo kashaoa