Rais Jakaya Kikwete
 
THE
UNITED REPUBLIC
 OF TANZANIA
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
| 
   
Telephone: 255-22-2114512,
  2116898  
E-mail:  ikulumawasiliano@yahoo.com 
Fax: 255-22-2113425 | 
  
  ![]()  | 
  
   
PRESIDENT’S OFFICE, 
      THE
  STATE HOUSE,  
             
  P.O. BOX
  9120,    
DAR
  ES SALAAM. 
Tanzania. 
 | 
 
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, jioni ya leo, Jumatatu, Desemba 31, 2012,
atatoa salamu maalum za Mwaka Mpya kwa wananchi.
Rais
Kikwete atatoa salamu hizo kupitia hotuba yake kwa Taifa ambayo ataitoa kwa
njia ya redio na televisheni.
Katika
salamu hizo, Rais Kikwete anatarajia kuzungumzia masuala mbali mbali kuhusu
matukio makubwa ya mwaka huu na mengine muhimu yaliyojitokeza katika jamii ya
Tanzania katika miezi 12 iliyopita.
Mwisho.
Imetolewa na:
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar
es Salaam.
31
Desemba, 2012


No comments :
Post a Comment