| Add caption | 
 Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es 
Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles Nkombelwe, akimkabidhi msaada wa 
vyakula mtoto Imani Seleman wa kituo cha Yatima Group cha Chamazi.
 Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles Nkombelwe akimkabidhi
 sehemu ya msaada wa vyakula mtoto, Khitami Abbasi wa kituo cha Dar Al 
Alkam cha Tandika. Katikati ni Abdallah Mohamed. Jumla ya vikuti 3 
vilikabidhiwa msaada wa vitu mbalimbali na Kampuni ya Simu Tanzania 
(TTCL) ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za sikukuu ya krismasi na mwaka 
mpya.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakiwa katika picha ya 
pamoja na wawakilishi wa vituo vilivyopata misaada leo kwa ajili ya 
sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Sehemu ya msaada wa vitu vilitolewa leo na TTCL kwa vituo vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
No comments :
Post a Comment