Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia,
Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni
Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi
ya malaria na Kifua.
KATIBU MKUU KIONGOZI ZANZIBAR AFUNGUA MAFUNZO SIWOLEMA
-
Katibu Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Zena Ahmed
Said ametoa wito ka washiriki 58 wanawake Viongozi wa Taasisi za umma na
binafsi ...
3 hours ago
No comments :
Post a Comment