MSANII 
anayefanya vizuri kwenye filamu na muziki Snura Mushi ‘Snura’, amekiri 
wazi kuwa makalio yake yanaongezeka siku baada ya siku na hii inatokana 
na mavazi anayovaa, huku nguo nyingine zikimpa wakati mgumu hata 
anapotembea kutokana na kumbana sana.teutokana
 na makalio yake kubandilika siku baada ya siku na kuongezeka kwa kiasi 
kikubwa, huku baadhi ya nguo alizokuwa anavaa  zikimbana na nyingine  
hawezi kuzivaa  tena.
Alisema kuwa inawezekana kukua kwa makalio yake kunatokana na kuridhika kwani sasa hana mawazo kama aliyokuwa nayo miaka kadhaa nyuma.
Aliongeza kuwa hajawahi kutumia dawa za aina yoyote za kukuza makalio na kuhusu makalio yake kuongeza anaamini ni umbo lake hivyo anahisi baadhi ya watu wenye mawazo mafupi wataanza kuhisi anatumia dawa hizo hatari na hataki watu wamfikilie vibaya, wala kuhisi anatumia.
“Utashangaa kuona picha nyingi nazopiga sasa zinaonesha makalio yangu yamekuwa sana nashindwa kuelewa ni kwa nini ila naamini maisha yangu ya sasa hayana mawazo kama ya miaka kadhaa iliyopita .
Nafurahi sana kuwa na makalio yenye afya ” aliongeza.

No comments :
Post a Comment