Mkurugenzi
 wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiwaongoza wanamuziki wake 
kushambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa 
Meeda Sinza, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Kutoka
 (kulia) ni Ramadhan Masanja (Banza Stone), Rogat Hegga (Katapila) Ally 
Choki (Mzee wa Farasi) na Athanas, wakiimba kwa pamoja jukwaani wakati 
wa onyesho hilo.
 Hadija Mnoga (kushoto) akishambilia jukwaa.
 Mkaanga Chips wa Extra Bongo, Martine Kibosho, akizicharaza Drams, wakati wa onyesho hilo.
 Mpiga Gitaa la Bass, wa Extra Bongo, Oseah Bass, akiliungurumisha gitaa hilo wakati wa onyesho hilo.
 Wanenguaji wa kike wa bendi hiyo, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho hilo.
Wanenguaji wa kiue wa bendi hiyo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho hilo.








No comments :
Post a Comment