Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, December 14, 2012

WAHITIMU TIMES SCHOOL OF JOURNALISM WAPIGA NONDO ZAO LEO.




Baadhi ya wanafunzi wahitimu wa mafunzo ya uandishi wa habari kwenye Chuo Cha Uandishi wa habari Cha Times (Times School of Journalism) wakifuatilia mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaaam, ambapo wanafunzi wa Stashahada na Astashaha wamehitimu.
Wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi kwenye mahafali hayo.
Wadau wakipozi baada ya kula Nondozzzzz!
Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Deus Kibamba akizungumza na wazazi, wanafunzi na wahitimu wa Masomo wa Chuo hicho kwenye mahafali yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment