Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, December 13, 2012

AIRTEL YA YAIBUKA NA TUZO YA UTENDAJI BORA TOKA ASSOCIATIONS OF TANZANIA AWARD 2012




 Airtel Waibuka Kidedea Na Tuzo Ya Utendaji Bora (Performance Management)

Mkurugenzi Wa Rasilimali Watu Wa Airtelbw, Patrick Foya Akiwa Ameshikilia Cheti Na Tuzo Hiyo Ya Utendaji Bora Waliojishindia Jana Na Kukabidhiwa Na Mh Rais Dkt, Jakaya Mrisho Kikwete

Tuzo Ya Kwanza Kulia Ndio Ya Utendaji Bora (Performance Management) Iliyoongezeka  Katika Diplay/Kitunza Tuzo Cha Airtel Makao Makuu Leo. 
Tuzo Hizi Zimeandaliwa Na Assocition Of Tanzania Employers (Ate) Na Kukabidhiwa Kwa Washindi Na Mheshimiwa Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt, Jakaya Mrisho Kikwete

No comments :

Post a Comment