Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akionyesha moja ya fomu za ushiriki wa program hiyo. |
Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar
Shelukindo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa kutangaza rasmi kutoa fomu za ushiriki wa msimu wa
pili wa programu ya kuwawezesha wajasiriamali ifahamikayo kama “Safari
Lager Wezeshwa”, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya TAPBDS inayoratibu mchakato mzima wa Safari
Wezeshwa,Joseph Migunda na kulia ni Mratibu wa Safari Wezeshwa,Laurance
Andrew.
Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar
Shelukindo akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) tovuti
ya programu ya kuwawezesha wajasiriamali ya “Safari Lager Wezeshwa”
ambayo itatumika pia kwa watu wanaotaka kujisajili kupitia mitandao.
Tovuti hiyo ni www.wezeshwa.co.tz.
Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar
Shelukindo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa kutangaza rasmi kutoa fomu za ushiriki wa msimu wa
pili wa programu ya kuwawezesha wajasiriamali ifahamikayo kama “Safari
Lager Wezeshwa”, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni inayoratibu
mchakato mzima wa Safari Wezeshwa,Joseph Migunda akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa sifa na
vigezo vya ushiriki wa msimu wa pili wa programu ya kuwawezesha
wajasiriamali ya “Safari Lager Wezeshwa”,ambavyo alivitaja kuwa ni (1).
Wawe wachapakazi hodari (2). Wawe Wanamiliki biashara binafsi ambazo ni
halali (3). wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 40 na (4). wawe na nia ya
kukuza biashara zao ili ziweze kuwasaidia wao na jamii
inayowazunguka.shughuli hii ilimefanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia
ni Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
No comments :
Post a Comment