---
Kundi la Jahazi Modern Taarab chini ya 
kiongozi wake, Mzee Yusuf  ' Mfalme' usiku wa 'Boxing Day' lilifanya 
makamuzi ya nguvu ndani ya ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala 
Zakhem jijini Dar es Salaam na kuzikonga nyoyo za wapenzi wa taarab 
waliofurika mahali hapo. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukia 
nafasi wakati wa shoo hiyo.PICHA: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL
No comments :
Post a Comment