| Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Jengo Jipya la Utawala la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Barabara ya Kilwa Dar es Salaam Desemba 22 -2012. | 
| Wakufunzi wa Taasisi hiyo wakienda uwanjani. | 
| Waadhiri wa Taasisi hiyo wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo. | 
| Hongereni sana! | 
| Kikosi cha Bendi ya Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
 | 
| Wapiga picha wakichukua matukio mbalimbali ya mahafali hayo. | 
No comments :
Post a Comment