Kiungo mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars
inayadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Amri Kiemba na beki wa timu
ya Rwanda, Michel Rusheshangoga wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya kwanza uliochezwa leo katika Uwanja wa
KCC uliopo Lugogo nchini Uganda. (Na Mpiga Picha Wetu)
Kiungo mchezeshaji wa Kilimanjaro Stars
inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Mwinyi Kazimoto akizuiwa na
beki wa Rwanda, Ismail Nshutiyamagara wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya
kwanza ya michuano ya Cecafa Chalenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo
Lugogo
Kipa wa Rwanda aliyelala chini akijitahidi kuokoa goli
lililofungwa na Amri Kiemba baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Mwinyi Kazimoto
ya kuwapita mabeki wa timu ya Rwanda
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager, wakishangilia wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya
kwanza ya michunao ya Cecafa Challenge dhidi Rwanda uliochezwa katika Uwanja wa
KCC uliopo Lugogo nchini Uganda. Kilimanjaro Stars ilishinda 2-0
Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars
inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Mrisho Ngasa aliyelala
chini na wachezaji wenzake wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya
kuwafunga Rwanda 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michuano ya
Cecafa Challenge uliochezwa leo katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na
Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakitoka Uwanjani baada ya kipindi cha kwanza
kumalizika katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa
Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo
No comments :
Post a Comment