Wanenguaji
 wa bendi ya Akudo Impact, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao, 
lililofanyika jana jumapili kwenye Ukumbi wa Msasani Beach Club, ambapo 
bendi hiyo hufanya onyesho la Bonanza katika ukumbi huo kila siku ya 
Jumapili.
 Mashambulizi yanaendelea jukwaani,,,
Rapa wa bendi hiyo (kulia) akiwachezesha wanenguaji wa bendi hiyo wakati wa onyesha hilo.



No comments :
Post a Comment