Ofisa
 Masoko wa Kampuni ya Tigo Bw.Alex Msigara.(kulia)Akiongea na waandishi 
wa habari (hawapo pichani) leo kwenye Hotel ya Southen Sun jijini Dar es
 salaam juu ya kudhamini maadhimisho ya miaka 15 ya bendi ya muziki ya 
FM Academia,Sherehe hiyo itafanyika tarehe 14 Desemba mwaka huu msasani 
Beach Club ,Ambapo amesema wao  kama Tigo wameamua kufunga mwaka kwa 
kusaidia jamii wanayoihudumia katika Nyanja zote ikiwemo ya burudani 
kama sehemu ya shughuli zao za kijamii .
Amesema Tigo itatuma ujumbe mfupi 
wa maneno kwa wateja wote wa jiji la Dar es salaam kuwapa taarifa kuhusu
 maadhimisho hayo ya miaka ya 15 ya bendi ya FM 
Academia.(katikati)Mwimbaji wa bendi hiyo Bw.Nyoshi El 
Sadaat.(kushoto)mratibu wa onesho hilo  Bw.Nasibu Mahinya.
Ofisa
 Masoko wa Tigo, Alex Msigara akielezea kuhusu udhamini wao katika 
maadhimisho ya miaka 15 ya bendi hiyo Mwingine ni Kiongozi wa Bendi ya 
FM Academia 'Wana Ngwasuma', Nyoshi El-Sadaat 
No comments :
Post a Comment