MATAPELI wa Dunia, Miss huyu "MAGGIE R MUNTHALI" akiwa
amevalia taji lake linalosomeka Miss Tanzania, akiwa katika moja ya
shindano la urembo huku akiwaakilisha nchi yetu ya Tanzania katika
mashindano hayo kama mwakilishi aliyeteuliwa na wahusika kuwakilisha
katika shindano hilo lililokuwa likifanyika Washngton DC hivi karibuni.
Je
Mkurugenzi wa Kamati ya MIss Tanzania, Hashim Lundenga, unamtambua
Mrembo huyu? na je unaweza kutufahamiasha wadau wa urembo kuwa aliwahi
kushiriki katika shindano lako la mwaka gani?, Na je uliwahi kutangaza
kumteua mrembo huyu kuiwakilisha nchi katika shindano lolote na urembo
kwa kutumia Taji la Miss Tanzania?
Dunia
ya sasa ni Kijiji, inawezekana pamoja na kuishi huko majuu, mdada huyu
pamoja na waliomshauri hawajui mambo ya mtandao na hawatambui hilo kuwa
hivi sasa duni ni kijiji, na ndiyo maana wakaamua kuwatapeli wasiojua na
kuwadanganya kuwa huyu ndiye Miss Tanzania ili waweze kupata kile
walichokikusudia.
Wadau
wanahitaji Tamko rasmi kutoka kwa wahusika Kamati ya Miss Tanzania na
majibu kamili kuhusiana na jambo hilo la Miss Tanzania FEKI.
KAULI YA WADAU WA UREMBO KUTOKA WASHNGTON DC
NA
TUNAOMBA UTWAMBIE JE ALISHINDA NA KUTWAA TAJI HILO?.....WAPO MAMISS
WENGI AMBAO WANAFANYA KAZI KUBWA SANA KUWEZA KUFIKIA KUITWA
MISS,WAMEVIJA JASHO KUPITIA VIKWAZO HADI KUSHINDA NA KUIWAKIRISHA NCHI
VYEMA....TUNAOMBA MTU ANAPOAMUA KUIBEBA BENDERA YA NCHI ASIWE MTU WA
KUFOJI.....HUU NI WIZI WA KUMUITA MTU MISS TANZANIA WAKATI HAJAWAHI
KUWA..TUNAOMBA PIA SWALA HILI MHESHIMIWA LUNDENGA KAMA SIO LA HALALI
BASI LIFIKISHWE KWA WAANDALIZI WA MISS AFRICA USA KWANI INAWEZEKANA
KABISA WAMERUBUNIWA..AU LABDA WANAVIGEZO VYAO.TUNAOMBA WATANZANIA MLIOKO
NJE YA NCHI MSITUDANGANYE NA KUTUIBIA KWANI WATANZANIA SIKUIZI TUKO
KWENYE MITANDAO....HABARI HIIZI PIA TUTAZIPELEKA WIZARA YA MABO YA NJE
KWANI HUWEZI KUIWAKIRISHA NCHI PASIPO HALALI..!
AHSANTE.....MUNGU IBARIKI TANZANIA !
WADAU WASHINGTON
ZAID TEMBELEA
No comments :
Post a Comment