Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mabweni ya
Wasichana katika shule ya sekondari ya Nachingwea leo.Wengine katika
picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila,Mkuu
wa Shule ya Wasichana Lindi Bi.Rahma Zedi (Wapili kushoto),Mkurugenzi wa
wilaya ya Nachingwea,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bibi.Regina Chonjo
na Mbunge wa Jimbo Nachingwea Bwana Mathias Chikawe.Picha na Freddy
Maro
RAS MKOA WA PWANI AFUNGUA MAFUNZO YA O&OD
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, amefungua kikao kazi cha
mafunzo ya siku mbili kwa vikosi kazi vya utekelezaji wa Mfumo wa Fursa na
Vikwaz...
17 hours ago
No comments :
Post a Comment