Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012
akikata utepe katika boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa
mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15
waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi
huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012
wakiwa nje ya boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu
akishuhudia kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa
wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo,
lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa
mwitu wakirejea mbugani baada ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama
hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la
mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment