Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek,
 iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya 
Krismasi  usiku wa jana jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na
 kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek. 
 Kiongozi
 wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza 
wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek 
iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade.
 Wanenguaji wa FM Academia wakishambulia jukwaa, wakiongozwa na Aaliyah.




No comments :
Post a Comment