Meneja Intanet wa Tigo Titus Kafuma (katikati) akizungumza na waandishi 
wa habari (hawapo pichani) juu ya Tigo kuchagua washindi wa mwisho wa 
mwaka wa droo ya Smartcard na Ascend Y200 ambapo alisema droo hizo 
zitashuhudiwa na kuendeshwa na Bodi ya Taifa ya Bahati Nasibu na kuwa 
tunapoelekea msimu huu wa Sikukuu, Tigo inafurahia kuwa sehemu ya 
kusherehekea na washindi. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Bahati 
Nasibu ya Taifa Bw. Humudi Abdulhusein na kulia ni Tuli Mwaikenda.
Meneja Intanet wa Tigo Titus Kafumaakiongea na wanahabari kuwaelezea juu ya zawadi zilizotolewa katika droo hizo.
No comments :
Post a Comment