| Wanamitindo walioshiriki shindano hilo wakitoa burudani ya kucheza muziki mara ikiwa nii ufunguzi wa onyesho hilo. |
| Washiriki waliongia tano bora. |
| Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto ni Gymkhana Hilal kutoka Paka Wear , Asia Idarous na Martine Kadinda. |
| Unique Model Talent of the year 2012 Vestina Charles akionyesha uwezowake wa kucheza jukwaani. |
| Washiriki 12 wa shindano hilo wakiwa wamejipanga tayari kusubiri kutangazwa mshindi. |
No comments :
Post a Comment