Mwandishi
wa Habari za michezo Mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, na mchezaji wa
timu ya TASWA Fc, Julius Kihampa, akimvisha pete ya ndoa Mke wake Grace
Kingarame, ambaye pia ni Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC), wakati wa ibada ya Ndoa yao iliyofanyika kwenye Kanisa la
Anglikana la St Albano jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
NGORONGORO WATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII ROMBO MARATHON
-
Na Mwandishi Wetu, Rombo.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika tamasha la Rombo
Marathon_ lililofanyika leo tarehe 23 Desemba 2025, ...
5 hours ago
No comments :
Post a Comment