Rais Kikwete, akisalimiana na wachezaji wakati akikagua timu hizo kabla ya kuanza kwa mchezo wa soka kati ya Four Seasons Safari Lodge na Serena, uliochezwa jana jioni wakati wa sikukuu ya Krismasi.
 Mabingwa
 wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi 
baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge 
 katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. 
Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju 
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani 
wao.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera
 Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo  kuilaza kwa 
mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi 
ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
 ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.



No comments :
Post a Comment