MABONDIA watakaotwangana kesho
 ndani ya ukumbi wa Dar Live ulioko Mbagala wamepima uzito leo asubuhi 
katika ukumbi wa Hoteli ya Atriums, iliyoko Afrika Sana, Sinza, Dar es 
Salaam.
Mabondia hao ni Mada Maugo wa Tanzania, Iga Juma wa 
Uganda, Mbwana Matumla wa Tanzania na David Charanga kutoka Kenya, 
Wengine ni Chupaki Chipinda, atakayezipiga dhidi ya Bahati Mwafyele na 
mabondia wa kike Esther Kimbe na mpinzani wake Irene Kimaro.(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
Mada Maugo akiwa na mpinzani wake toka Uganda, Iga Jumaa.
Mada Maugo akipimwa uzito.
Esther Kimbe akipima uzito.
Irene naye akiwa kwenye mashine ya kupimia uzito.
David Charanga akiwa juu ya mashine ya kupimia uzito.
Iga Juma akipima uzito.








No comments :
Post a Comment