Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

BIG SASA YUKO LOCATION KUANDAA MOVIE YA KIBAKULI


MSANII wa Filamu maarufu
kwa jina la Big amesema
sasa yuko msituni kuandaa movie mpya iliyojaa vituko
na visa vya mtafaluku wa
familia vyenye burudani na mafundisho
Lukuki.

Big amesema tayari wako
Location kuandaa movie hiyo
inayoshirikisha mastaa lukuki wanaolitikiza jijini,
Nchi na Ulimwengu wa
Filamu za Kibongo kwa Ujumla.

Amesema wapenzi na
mashabiki kaeni mkao
wa kuangalia movie hiyo itakuwa sokono si muda mrefu.

No comments :

Post a Comment