Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

MABONDIA WA KENYA TANZANIA KUPIMA UZITO KESHO KWA AJILI YA MPAMBANO

BONDIA Gabriel Ochiang kutoka Kenya amewasili Dar es
salaam LEO kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika jumapili hii na bondia
Ramadhani Shauli wa Tanzania utakaofanyika katika ukumbi wa Frensi kona Manzese
jijini.Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini leo majira ya saa mbili na nusu
asubui kwa basi la Akamba bondia huyo kutoka kenya amesema kuwa kama kawaida
yake ajamuona Mtanzania wa kumbabaisha zaidi ya aliyekuwa bingwa wa Mabara
bondia Mbwana Matumla kwa sasa sijaona bondia mzuri zaidi yakeMabondia hawo
wanatalaji kupima uzito kesho kwa ajili wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
wa raundi nane Naye bondia Ramadhani Shauli akizungumza kwa njia ya simu amesema
kwa sasa angalii anapigana na nani yeye amejidhatiti kuendeleza ubabe kwa bondia
yoyote anayepigana nae na kwa kuwa nimepata mpinzani kutoka nje ya nchi hapa
ndipo watanzania watakapo kiona kiwango changu cha mchezo wa ngumi kwa sasa hapa
nchini akuna bondia wa kuni babaisha kwani karibia wote viwango vyao vidogo ndio
mana nimemuomba promota aniletee mtu toka nje ya nchi na nimefurai sana
kupangiwa mkenya na nipo fiti kwa ajili ya mpambano huo.

No comments :

Post a Comment