Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

KAMPUNI YA MULTCHOICE YAZUNGUMZA NA WATEJA WAKE LEO

Meneja Mkuu wa Multchoice Tanzania Bw. Peter
Fuel akifurahia jambo na Meneja wa Uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa hafla
ya wateja iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wateja wake, katika siku
hii ya leo ving'amuzi vya DSTV vinauzwa kwa silingi 120.000 pamoja na
kukuunganishia nyumbani kwako na ofaa hii ni ya leo tu.

Hafla hiyo inafanyika katika
ofisi za Multichoice zilizopo Saint Peter Oysterbay jijini Dar es salaam.Mwanafunzi Diana Kimaro wa Chuo Kikuu cha Nilai
Malasia akisomea masuala ya biashara ambaye yuko katika benki ya NMB kwa mazoezi
akimpatia huduma mmoja wa wateja wa benki ya NMB aliyefika katika hafla hiyo,
Benki ya NMB pia imeshiriki katika hafla hiyo kwa ajili ya kuwaelezea wateja wao
huduma mbalimbali wanazozitoa.
Watoto wakicheza
Wanenguaji wa kiume wa bendi ya African Stars
wakicheza katika hafla hiyo.
Mwimbaji wa bendi hiyo Lwiza Mbutu akiimba pamoja na
wanamuziki wenzake katika hafla hiyo.
Meneja uendeshaji wa Multchoice Ronald Shelukindo
akizungumza na wateja wa kampuni hiyo katika hafla hiyo.
Wateja mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo
wapata burudani mbalimbali.
Baadhi ya wateja pia wameongozana na watoto wao
katika kuonyesha upendo.
Kulia ni Ronald Shelukindo Meneja Uendeshaji,
Barbara Kambogi Meneja Uhusiano na katikati ni Orest Kawau kutoka African Media
Group.
Mdau Julio Batalia akitangaza bidhaa yake ya
PayPoint katika hafla hiyo.
Wadau kutoka benki
ya NMB nao wakiwa katika hafla hiyo tayari kwa kuelimisha wateja juu ya huduma
zao.

picha zaidi tembelea http://www.fullshangweblog.com/

No comments :

Post a Comment