Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, March 15, 2012

KIMD yaanza ujenzi wa daraja la ITEBA Dar es Salaam

Watoto washule wakip[ita katika daraja la muda
lililowekwa na vijana wa Manzese katika Mto Iteba unaotenganisha Sinza na
Manzese jijini Dar es Salaam. Pem,beni ni ujenzi wa daraja la kudumu ulioanza
kufanyika hivi karibuni chini ya Kampuni ya Ujenzi ya KIMD kutoka Kibaha mkoani
Pwani.
Meneja Miradi wa KIMD Constructor, Onesmo Nathan
akimwelezea jambo kuhusiana na ujenzi wa daraja la watembea kwa Mguu la ITEBA
linalounganisha Sinza na Manzese jijini Dar es Salaam linalojengwa na kampuni
hiyo KIMD kutoka Mjini Kibaha mkoani Pwani. KIMD ni moja ya kampuni chache za
Ujenzi zinazomilikiwa na wazawa kwa 100% na imekuwa ikifanya kazi nyingi za
ujenzi wa barabara, mashule, na vituo vya afya katika maeneo mengi hasa Mkoani
Pwani.
wananchi wakipita katika daraja hilo la muda ambapo
hutozwa fedha na vijana hao.
Muuza gahawa nae
akipita jirani na eneo hilo la ujenzi wa daraja jipya ambalo linajengwa kupitia
ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni.

Meneja Miradi wa KIMD Constructor, Onesmo Nathan akimwelezea jambo kuhusiana na
ujenzi wa daraja la watembea kwa Mguu la ITEBA linalounganisha Sinza na Manzese
jijini Dar es Salaam linalojengwa na kampuni hiyo KIMD kutoka Mjini Kibaha
mkoani Pwani. KIMD ni moja ya kampuni chache za Ujenzi zinazomilikiwa na wazawa
kwa 100% na imekuwa ikifanya kazi nyingi za ujenzi wa barabara, mashule, na
vituo vya afya katika maeneo mengi hasa Mkoani Pwani.

1 comment :

  1. Thank you for sharing your thoughts. I really appreciate your efforts and I
    am waiting for your further post thank you once again.


    Also visit my site cellulite treatment cream

    ReplyDelete