Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

KAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA WA BAISKELI KWA WAJASILIAMALI WALEMAVU



Taarifa kwa vyombo vya habariMpango wa kijasiraamali waTigo wa kuwanufaisha
wenye ulemavu10 March, 2012, Dar es salaam. Tigo imetoa msaada wa baiskeli za
walemavu ishirini na tano kwachama cha wajasiriamali waishio na ulemavu kama
sehemu yake ya kusaidia afya katika jamii.Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika
leo katika shule ya Buguruni ya wenye ulemavu wa kusikia, nabaiskeli hizo
zimekabidhiwa kwa niaba ya Tigo na mratibu wa Promosheni na Matukio bwana
EdwardShila ambapo zilipokelewa na na katibu mkuu wa Tanzania Private Sector
Foundation Bibi Ester Mkwizukwa niaba ya chama.“Tuna furaha kuweza kukisaidia
kikundi hichi cha watu wanaoishi na ulemavu ambapo sasa kwa kutumiabaiskeli hizi
wataweza kufanya shughuli zao za kijasiriamali kwa uraisi zaidi. Vile vile
tunafurahakuwatambulisha katika nafasi kubwa ya biashara ya kuwa wakala wa Tigo
Rusha na Tigo Pesa” alisemaBw. Shila. “tunaamini msaada wetu utasaidia kuboresha
maisha yao kwa kuwaongezea uwezo wakujiongezea kipato” alisemaTigo pia
inajitolea kutoa mafunzo ya kijasiriamali katika huduma zake za Tigo Rusha na
Tigo Pesakwa wanachama wa chama hicho. Ushirikiano huo ni sehemu ya mpango wa
kijasiriamali ambapowanachama watapata simu,kadi za simu na mafunzo kutoka Tigo.
Mpango huu unatarajia kutoa msaadakwa wanachama wengine ishirini na tano Arusha
na Dodoma.“Watu wanaoishi na ulemavu wanakabiliana na hali ngumu ya uchumi
kuliko makundi mengine katikajamii” alisema bibi Esther Mkwizu. Tunaamini kwa
kuwawezesha haitawasaidia tu kuweza kufanyashughuli zao lakini pia itawawezesha
kujipatia kipato,ukizingatia kwamba ulemavu siyo kigezo chakutoweza kufanya
kazi.Kampuni nyingine pia zimeshauriwa kujiunga na mpango huu na kuwasaidia watu
wanaoishi na ulemavuvifaa vitakavyo wawezesha kujitegemea wenyewe.Tigo ni
mtandao wa simu za mkononi ya kwanza Tanzania, ilianza biashara mwaka 1994 na ni
mtandaowa simu Tanzania wenye ubunifu wa hali ya juu na bei nafuu kupita zote
nchini. Tigo ni sehemuya MillicomInternational Cellular S.A (MIC) na hutoa
huduma za simu za mkononi kwa gharama nafuuna inayopatikana maeneo mengi
kiurahisi kwa wateja zaidi ya milioni 30 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na
Amerika ya Kusini.Msingi wa mafanikio ya Tigo ni uzingatiaji wa mikakati mitatu
ambao,ni Gharama nafuu, Uwepona Upatikanaji .Tunajenga dunia ambapo huduma za
simu ni za bei nafuu, zipo na zinapatikana kilamahali na kwa wote. Hii
inahakikisha kwamba wateja wetu wanapata huduma bora zaidi kwa bei nafuukuliko
zote katika mikoa yetu 26, Tanzania Bara na Zanzibar.Kwa taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz

No comments :

Post a Comment