Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

EXTRA BONGO,BUSHOKE NDANI YA MEEDA PUB SINZA LEO


BENDI ya Muziki wa Dansi leo inatarjia kutoa burudani kwa wapenzi
na
mashabiki wa jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Meeda sambamba na
Msanii wa
nyimbo za Kizazi Kipya Bushoke.Akizungumza na mtandao huu
mkurugenzi wa Bendi ya
Extra Bongo, Ally Chocky amesema bendi yake imejipanga
vyema kutoa burudani leo
kwa nyimbo mpya na za zamani ambapo pia wataaimba
remix na mwanamziki wa kizazi
kipya, Bushoke.Chocky alisema wamekuwa
wakifanya hivi mara kwa mara kuimba na
wasanii mbali mbali wa kizazi kipya
katika kuwapa uwezo wa kujitegemea wakiwa
stahiji kwa kuimba live kuliko
kutegemea cd.Alisema Chocky baada ya shoo ya leo,
kesho watatumbuiza kwenye
Ukumbi wa Dar live Mbagala jijini Dar es Salaam

No comments :

Post a Comment