Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

Sandton Sound Band: Wazee Wa Zengwe

Solorist huyu alitokea Bendi ya Police Jazz, anaitwa
Peter George.
Anaitwa Moses Miliya, Kwa jina
maarufu anafahamika

kama “Miwaya”. Mpiga Drum huyu alikuwa SOT
Sound.
Kutoka kushoto ni mwimbaji
Masongi, akifuatiwa na Francis Sheggy

na Christian Sheggy. Hawa walitokea Mik
Sound


Baada ya maoni mengi kutoka kwa wadau, Bendi iliamua
kum-recruit
mwanadada mrembo ambaye anaimba na kucheza kwa pamoja.
Anaitwa Subira.

.

RATIBA YA WIKI HII NI KAMA IFUATAYO:

Ijumaa- WoodLand Bar pale Tiptop

Jumamosi- Anamwana Pub pale Kimara Rombo

Jumapili – Ni Mtongeni Bar pale Mbezi Kimara kibanda
cha Mkaa.

No comments :

Post a Comment