Mwenyekiti wa Tume wa Ufuatiliaji tatizo la Umeme katika Soko la Mchikichiini Mussa Kitakuru Kweka (kulia) akiongea na waandishi wa habari Machi 21,2012 kuhusu matatizo ya Umeme na Soko la Mchikichini pamoja na Viongozi Soko linalowakabili wafanyabiashara hao. (katikati) ni Mwenyekiti wa wanaharakati wa Soko la Mchikichini Godwin Kaison Ndabazi, (kushoto) ni Mfanyabiashara wa Mchikichini Zabibu Ally Lukuba. Wafanyabiashara hao wamemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuwapatia eneo la wafanyabiashara ndogo ndogo katika Soko hilo na limeweza kuwapatia ajira ya zaidi watu 10.000/- Soko la Mchikichini limekosa Umeme kuanzia tarehe 13/12,2011 hadi leo. kutokana na kulipa deni la shilingi 23,000,000/- ambalo wamedai limesababishwa na Uongozi wa soko hilo. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ATOA POLE AJALI YA KARIAKOO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitoa salamu za pole kwa waathirika wa ajali ya kudondokewa na gorofa
Kariakoo Jij...
1 week ago
No comments :
Post a Comment