Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 17, 2012

MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA BUBUBU ZANZIBAR JANA

Wananchi
mbalimbali wakiwa wamebeba Jeneza la aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu
Marehemu Salum Amour Mtondoo, wakati wakielekea Msikitini kwa ajili ya
Kumsalia.Marehemu alifariki juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini
Zanzibar.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo
katika kaburi la aliyekua Mwakilishi wa Jimbo la Bububualiekuwa Muakilishi wa
Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akiongoza
wanananchi mbalimbali katika mazishi ya aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu
Zanzibar.Mazishi hayo yaliofanyika huko kijijini kwao Bumbwini Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Makamo wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Sharif Hamadi akimimina Udongo katika Kaburi la
aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo aliezikwa
huko kijijini kwao Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja

No comments :

Post a Comment