Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, March 13, 2012

MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI AZUNGUMZIA UPATIKANAJI WA BINGWA WA TAIFA




Tumeshuhudia vyama vyetu vya ngumi vikitoa mabingwa wao wa Taifa wa weight
tofauti kimakosa, Bingwa wa Taifa hawezi kupatikana kwa points ktk round ya
kwanza mpaka ya nne, unless by KO, rakini baadhi ya Mabingwa wanapatikana kwa
points chini ya round nne za awali, huyo si bingwa halali wa Taifa.Tale of the
tape:Inabidi watu watangaziwe tale of the tape ili watu wajue. Contents za Tale
of the tape ni Age, Height, Arm length, Weight. Tunaambiwa kuwa ni ubingwa wa
Taifa bila kuambiwa ni weight gani wanayopigania.Ring Record:Hakuna ring record
za fight zote zinzopigwa ktk miaka hii, vyama vyetu havina record za maboxer
wanaowapiganisha au wanafanya makusudi tu, na record za maboxer wanaweza
kuzipata ktk www.boxrec.com ila
wanapiganisha watu bila kutuambia sisi wadau record za boxers wote wanaogombania
mikanda, Ring record contain – Won, Loss, Draw, KO and NC of each boxer to be
announce before fight.Unified Rules:Hapa ndio kuna hilo tatizo ambalo nimeliona
kuwa Bingwa wa taifa anapatikana chini ya round ya nne kwa points, kwa KO sawa
hakuna ubishi anakuwa champion wetu kialali ila kwa points chini ya round hizo
huyo si bingwa wa Taifa, hiyo fight inaamuliwa kama Technical draw. Sheria
zinasema hivi:No 3 Knockdown RulesOnly Referee Can Stop the FightScore Cards At
The End Of Round No. 4Can Not Be Saved By Bell In Any Round Tukianza na hiyo ya
kwanza – No 3 knockdown rules, zamani boxer ukipigwa na kuanguka ukaesabiwa ktk
round moja mara tatu basi automatical fight imekwisha na bigwa kutangazwa ila
kwa sasa sheria hiyo is no longer applicable, mtu unaweza kuhesabiwa hata mara
kumi ktk round moja na fight ikaendelea.Only referee can stop the fight- hii
inajieleza ni referee pekee mwenye right ya kusimamisha fight na kumpa ushindi
anaestaili. Ili linafuatwa hakuna shaka, boxer akizidiwa na kunaweza kuatalisha
afya yake tumeona referee’s wetu wakisimamisha fight na wakitoa ushindi.Score card at the end of round no. 4 – Hapa ndio kuna
madudu tupu, round no, 1 mpaka round no. 4 hapa uwezi kutoa mshindi kwa points
ikitokea boxers wamegongana vichwa au any Incidental hiyo fight itaamuliwa
Technical draw kuanzia round no. 5 hapo likitokea la kutokea ndio score cards
zinapotumika. PST ntawatolea mfano mmoja, mwaka 2010 DDC Magomeni Kondoa ulikuwa
ubingwa wao wa Taifa Bantam weight kama sikosei au superflyweight, boxers
waligongana vichwa round ya 3, PST wakatumia score card za round 2 kumtangaza
bingwa wao wa Taifa, baada ya kutoa Technical draw, huyo hakuwa bingwa wetu
halali wa Taifa. Pili, mwaka 2007 Dimond Jubelee hall Hussein Pazi vs Deo Njiku,
superfetherweight, waligongana vichwa round ya 2,Hussein Pazi alipasuka vibaya
sana juu ya jicho, Referee Mlundwa akafuata sheria ya Only referee can stop the
fight akasimamisha fight, wakatumia score card kutangaza mshindi akawa Deo Njiku
badala ya kuwatoa Technical Draw, Ingawa baadae Deo Njuku alinyang’anywa mkanda
kwa kuwa alizidi weight. Can not be saved by bell in any round – hapo zamani
sheria mtu akizidiwa kengere ( bell 0 inaweza kugongwa kumuokoa asiendelee
kupata kipigo waende for a break, ila kwa sheria za sasa kituhicho hakuna, PST
tena wanafanya madudu, ntatoa mifano 2 ktk fight zake tena za ubingwa wa dunia
Venue ; Dimond Jubelee, 2011Promoter : BawazirSuction board : WCTLocal suction
by : PSTTitle : Intercontinental flyweight championshipBoxers : Juma Fundi vs
Fadhili MagiaJuma Fundi alipigwa punch kali akaenda chini, Referee Mlundwa
akaanza kuhesabu ilipofika 8, Juma fundi akawa bado fahamu azijarudi, Mlundwa
akaendelea kuhesabu mpaka 10 still Juma Fundi Fahamu zilikuwa bado azijarudi,
kukawa na delay karibu ya 1 minutes akiongea nae, ilikuwa ni clean KO Juma Fundi
kapigwa, ila delay za Mlundwa na Yule Juma Fundi ni boxer wake Mlundwa Kengere
ikagongwa Juma Fundi akanusulika, na hiyo punch ilimchanganya akashidwa kucontrol game, hata hivyo
alipigwa kwa points.Same date, Main Card, Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho,
World Title Bantam weight, Referee Antony Luta, Mbwana alipigwa punch kali
akakaa akalewa delay ya counting na kengere ikamuokoa Mbwana na kuanzia hapo
Mbwana akashidwa kulimiliki pambana japo kuwa alianza vizuri sana, na
alimkalisha Francis ila ile punch ndio ilimchanganya hakashidwa kucontrol
fight.NB: Mabingwa wetu wa Taifa wanapatikana ktk njia ambazo ni kinyume na
sheria, vyama vyetu vya ngumi vinatakiwa kujipanga na kuwa train Referee’s wake,
ikiwezekana waiombe serekali iwaitie mkufunzi wa kimataifa aje kuwapa proper
training na wawe issued na certificate otherwise itakuwa tunapata mabingwa ambao
awana vigezo. Na vyama vyetu vya ngumi vi accept hizi challenge na wazifanyie
kazi, Otherwise ipo siku tutawashtaki mahakamani.
MdauNawakilisha.

No comments :

Post a Comment